product

Business Suite App

Tsh 450000

Business Suite App ni app ya kufanyia Biashara

Inawezesha kuweka biashara (bidhaa / huduma ) mtandaoni

Inawezesha kuwasiliana na wateja kwa njia ya Push & bulk Sms ( yaani unatuma meseji 1 kwa wateja wengi kwa wakati mmoja.)

Inawezesha kutunza mawasiliano ya wateja walionunua, wanaotafuta bidhaa / huduma (yaani unakuwa na customers database)

Inawezesha kufanya follow up ya wateja kwa urahisi

Inawezesha kutuma taarifa ya ujio wa mzigo / bidhaa mpya, ofa maalum , salamu za siku kuu (christimass, iddi nk)

Inawezesha kutunza document muhimu za biashara na kuzifikia muda wowote , mahali popote kupitia simu yako

Inawezesha kutunza report za mauzo nk na kushare mfano , team ya mauzo inashare report kwa boss

Inawezesha kufanya mauzo, kuendesha na kusimamaia shughuli za biashara moja kwa moja kupitia simu yako (business management).

 

Yote hayo unafanya kupitia simu yako yenye app ya Business Suite App

 

Business Suite App inakuja pamoja na website yake ya kuuzia online ya jina la  .co.tz ie biasharakkoo.co.tz ( app pamoja na website )

 

UMUHIMU WA BUSINESS SUITE APP

 

Kujenga mahusiano ya kudumu na wateja. (kwasababu unaweza kuwatumia ujumbe mara kwa mara Km tigo, voda nk)

Kupatikana mtandaoni kirahisi kutokea kwenye sms inbox, google, facebook, instagram, tiktok, whatsapp, browser nk etc.

Kuongeza kasi ya Mawasiliano ( Taarifa moja inaweza kuwafikia mamia au maelfu ya wateja ndani ya sekunde chache)

Kuongeza soko na mauzo (biashara yako inapatikana mtandaoni masaa 24 kupitia app na website bila kodi, huku ni free VAT)

Kusimamia biashara yako popote ulipo kupitia simu yako bila kuwa ofisini.

 

Gharama za uendeshaji wa App baada ya kuinunua

Kwa mwaka unalipia Tsh laki moja na nusu tu ( Tsh 150000/= )

 

Gharama ya kununua Business Suite App + setup ni Tsh 450,000 /=

Mafunzo & support ni bure 24/7

baada ya kununua mwaka / miaka inayofuatia unalipia gharama za uendeshaji tu ambazo zimetajwa hapo juu

 

Taratibu za manunuzi ya App

1.Wasiliana nasi 2. Tunakupa invoice 3.Unafanya malipo bank 4.Setup inafanyika 5.Unapewa nyaraka za umiliki na mwongozo (manual) 6.Unaanza kutumia App

 

Endesha biashara kidigitali na Business Suite App


Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.

Premium Website & Apps zote

Business Suite App

Business Suite App

E-commerce / Online

TZS 450000

Car Dealer

Car Dealer

Car Dealer Website

TZS 650000

Agro Export

Agro Export

Company Website

TZS 650000

School website

School website

School Website

TZS 600000

eStore 3

eStore 3

E-commerce / Online

TZS 450000

eStore 2

eStore 2

E-commerce / Online

TZS 450000

Printshop v1

Printshop v1

Company Website

TZS 450000

Online Store v1

Online Store v1

E-commerce / Online

TZS 450000

Top Categories

School Website

USD -

Tour Agency Website

USD -

Travel Agency Website

USD -

Hotel Website

USD -

Home Portfolio Products Whatsapp Call Account