Bar & Pub website ni website ambayo inamfumo wa mauzo (POS) kwa ajili ya counter na jikoni
Website hii inafanya yafuatayo
1.kuonyesha matukio yaliyopita na yatakayo kuja kwenye bar / pub
2. Kutoa habari zinazoendelea kwenye bar / pub eg concerts / offer etc
3. Inaonyesha vyakula vinavyopatikana pamoja na vinywaji
4. Inawezesha mteja kuagiza chakula & vinywaji nje ya bar (delivery)
5.Inamfumo wa mauzo yaani inafanya counter check , inafanya mahesabu ya mauzo badala ya kutumia daftari
6. Inarahisisha usimamizi wa bar / pub
: Forsale
Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.