Faq


Kuhusu Digitalfinix

Digitalfinix.store ni nini?
Digitalfinix.store ni jukwaa la mtandaoni linalouza bidhaa na huduma za kidigitali kwa urahisi, salama na kwa bei nafuu.
Digitalfinix.store ni kampuni halali?
Ndiyo, tumesajiliwa chini ya Brella reg no: 627516 na tunafuata sheria za Tanzania.
Kwa nini nichague Digitalfinix.store?
Huduma ya haraka, bidhaa tayari kwa matumizi, support nzuri na malipo salama.

Ununuzi & Malipo

Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.
Je ninapata business email ninaponunua website?
Ndio unapata business email bure mfano info@myoffice.co.tz , support@myoffice.co.tz, n.joseph@myoffice.co.tz , kisha utafanyiwa configuration kwenye simu au computer yako bure.
Malipo yanafanyika kwa njia gani?
Malipo yanafanyika kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na HaloPesa.
Malipo yangu yako salama?
Ndiyo. Tunatumia mifumo salama ya malipo.

Bidhaa & Delivery

Bidhaa mnazouza ni zipi?
Tunauza bidhaa na huduma mbalimbali za kidigitali.
Nitapokea lini bidhaa baada ya kulipa?
Kawaida siku 2 - 3 baada ya kulipa advance payments.

Akaunti

Je, lazima nijisajili ili kununua?
Hapana, sio lazima. Unaweza kununua bila kufungua akaunti.
Nawezaje kufuatilia oda yangu?
Kupitia Simu, SMS, WhatsApp au Email (masaa 24).

Msaada & Mawasiliano

Je, nikilipa nikapata shida nifanye nini?
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp, simu au email tutakusaidia ndani ya masaa 24.
Nitawasiliana nanyi vipi?
Simu, WhatsApp, Email na Live Chat.

Top Products

Business & Office Tools

Auto Notification & Sms Reminder

Tsh 300,000/=

Office Dashboard (System)

Tsh 600,000/=

Digital Guest Book

Tsh 300,000/=

Payment Gateway Api

Tsh 700,000/=

Home FAQ Products Whatsapp Call Account