Website ya kisasa na professional iliyotengenezwa kwa ajili ya kampuni za mazao ya kilimo, wauzaji wa bidhaa za shambani, exporters, na wafanyabiashara wa mazao kama:
Kahawa (Coffee)
Asali (Honey)
Ufuta (Sesame)
Maharage
Mchele
Cocoa
Viungo
Mboga na matunda
Mazao ya organic
Website hii imeundwa kusaidia biashara kuonekana professional mbele ya wateja wa ndani na wa kimataifa.
Faida Kwa Soko la Nje
Website hii inasaidia kampuni yako:
Kuonekana trusted mbele ya buyers wa nje
Kuonyesha bidhaa kwa professional way
Kupata wateja wa kimataifa kirahisi
Kuongeza export opportunities
Kuwa na online presence ya kisasa
Kurahisisha mawasiliano na international clients
Kuonyesha bidhaa zako 24/7 duniani kote
Kwa biashara za export kama kahawa, asali, ufuta, na mazao mengine, website ni muhimu ili kuongeza credibility na kuvutia buyers wa international market.
: Forsale
Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.