product
product

Printshop v1

Tsh 450000

Printshop v1 ni website kwa ajili ya kampuni, ofisi inayotoa huduma za graphics na printing


Kazi za website hii ni kama zifuatazo:

1.Kufanya marketing sokoni

2.Kufanya / kurahisisha mawasiliano na wateja (call, emails, social connection)

3.Kuhifadhi taarifa za ofisi (day to day)


Inahifadhi taarifa za mauzo (sales)

Inahifadhi taarifa za matumizi (expensese)

Inahifadhi taarifa za mahitaji (Requisitions)


Website hii inatools na huduma zifuatazo

1. Business email (info@yourcompany.co.tz)

2. Admin dashboard - kwa ajili ya website & office management (system)

3. App (progressive web application) ambayo inainstall kwenye simu ya android, iphone na computer



Website hii inagharimu Tsh 450,000/=  (installation , domain name na hosting kwa miaka 2)


Delivery within 3 Days 


Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.

Premium Website & Apps zote

Car Dealer

Car Dealer

Car Dealer Website

TZS 650000

Agro Export

Agro Export

Company Website

TZS 650000

School website

School website

School Website

TZS 600000

eStore 3

eStore 3

E-commerce / Online

TZS 450000

eStore 2

eStore 2

E-commerce / Online

TZS 450000

Printshop v1

Printshop v1

Company Website

TZS 450000

Online Store v1

Online Store v1

E-commerce / Online

TZS 450000

Top Categories

School Website

USD -

Tour Agency Website

USD -

Travel Agency Website

USD -

Hotel Website

USD -

Home Portfolio Products Whatsapp Call Account