product
product product product product

Online Store v1

Tsh 450000 / Kg

Online Store v1 ni website kwa ajili ya biashara, duka  la bidhaa jumla na rejereja, supermarket


Kazi za website hii ni kama zifuatazo:


1.Kufanya marketing mtandaoni - inarahisisha upatikanaji wa taarifa za bidhaa,picha, bei etc

2.Kuuza bidhaa 

3.Kufanya / kurahisisha mawasiliano na wateja (call, emails, whatsapp, social connection)

4.Kuhifadhi taarifa za biashara

5.Kutuma meseji kwa wateja (Bulk sms au SMS zenye jina la biashara )


Inahifadhi taarifa za mauzo (sales)

Inahifadhi taarifa za matumizi (expensese)

Inahifadhi taarifa za mahitaji (Requisitions)



Website hii inatools na huduma zifuatazo


1. Business email (info@yourcompany.co.tz)

2. Admin dashboard - kwa ajili ya website & business management (system)

3. App ya wateja wa bishara / duka (progressive web application) ambayo inainstall kwenye simu ya android, iphone na computer

4. App ya kuiendeshea (Mmiliki wa biashara au muuzaji anatumia mobile app kufanya yaliyotajwa hapo juu)



Website hii inagharimu Tsh 450,000/=  

Gharama hii inahusisha website installation yaani iwe live, domain name (jina eg www.mybusiness.co.tz ) na hosting (mazingira ya mtandaoni) kwa miaka 2


Delivery ya website hii ni ndani ya siku 3 baada ya kukamilisha malipo ya advance ,siku ya nne ni makabiziano ya kazi pamoja na nyaraka zake kama waranty card, taarifa za msajili wa domain na host na kuanza matumizi

: Available

Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.

Top Products

Home FAQ Products Whatsapp Call Account