CRM Special website kwa ajili ya cleaning services company
Inasehemu ya ceo kuongea na wateja
Inaonyesha shuhuda za wateja
Inaonyesha kazi zilizofanyika kwa video
Inatuma meseji official kwa mteja
Inatuma meseji official kwa wateja wote (bulk sms) ie kuwatakia siku kuu njema etc
Inamobile app yake kwa ajili ya kuiendeshea
: Forsale
Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.