Huu ni mfumo wa kisasa na wenye muonekano wa kitaalamu uliotengenezwa kusaidia shule kuwa na uwepo bora mtandaoni na kutoa taarifa muhimu kwa wanafunzi, wazazi, walimu pamoja na wageni kupitia mfumo rahisi kutumia na unaofanya kazi vizuri kwenye vifaa mbalimbali.
Vipengele Vikuu:
Muonekano mzuri unaofanya kazi kwenye simu na kompyuta
Sehemu ya habari na matukio ya shule
Mfumo wa taarifa za udahili
Kurasa za kuhusu shule, mission na vision
Wasifu wa walimu na viongozi wa shule
Ukurasa wa mawasiliano wenye mfumo wa kutuma ujumbe
Muunganiko wa mitandao ya kijamii
Gallery ya picha na multimedia
Mfumo unaotumia PHP & MySQL kwa usimamizi wa taarifa
Rahisi kubadilisha na kusimamia
Mfumo huu unafaa kwa:
Shule za awali (Nursery)
Shule za msingi
Shule za sekondari
Vyuo na taasisi za elimu
Mfumo huu unasaidia shule kuboresha mawasiliano, kutangaza shughuli mbalimbali za shule, na kuwapa wazazi pamoja na wanafunzi upatikanaji rahisi wa taarifa muhimu kupitia mtandao.
: Forsale
Ninanunua vipi bidhaa kwenye Digitalfinix.store?
1. Chagua bidhaa eg school website v1 2. Wasiliana nasi kupitia simu, whatsapp 3. Lipia advance 4. Tuma taarifa za ko / biashara / ofisi / kampuni 5. Subiri wakati bidhaa yako inafanyiwa configuration and installation kwa kawaida siku 2 - 3, 6. kamilisha malipo yaliyobaki 5. Pokea bidhaa yako eg school website (hapa utapokea taarifa za usajili na msajili wa domain & hosting pia taarifa za kuingilia kwenye mfumo, mfano bidhaa uliyochagua ilikuwa school website, hivyo utapata username and password yake pia utapata mobile app kwa ajili ya tracking & adminstration), mwisho utapata trainings & support mwaka mzima bure.